CCM yazindua Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, uliofanyika leo. |
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar leo. |
Post a Comment