WAUMINI WA MSIKITI WA GADDAFI MJINI DODOMA WAMSHUKURU WAZIRI BERNARD MEMBE
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Mustafa Rajabu Shabani akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), kwa waumini
wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita
kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha
ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa
Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa
Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa
ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa
msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya,
marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary
Kariati.
Picha zote na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waumini wa
Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao, walipomwita
kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha
ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa
Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto), akibadilishana mawazo
na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani, wakati
waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, walipomwita jana kwa ajili
ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa
msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya,
marehemu Muammar Gaddafi. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislam
Tanzania (BAKWATA), Mkoani humo, Zidikheri Swedy Kheri.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto) na Sheikh Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kushoto), wakishiriki katika
chakula cha usiku kilichoandaliwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi
mkoani Dodoma jana, wakati walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana
na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa
ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiagana na waumini wa Msikiti
wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili
ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa
msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya,
marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Mustafa Rajabu Shabani.
Post a Comment