Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akijadiliana jambo na Mama
Maria Nyerere baada ya shughuli ya kuaga
mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu
Martin David Msuguri, katika ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani
kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni
21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo
jijini Dar es Salaam baada ya kuugua. Kulia ni Mbunge wa Mchinga (CCM), Saidi
Mtanda. |
Post a Comment