MBUNGE WA JIMBO LA GEITA AFARIKI DUNIA, BUNGE LATHIBITISHA
MAREHEMU DONALD MAX ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA |
WAHESHIMIWA WABUNGE / WATUMISHI WOTE;
SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.
ANNE MAKINDA ANASIKITIKA KUWAJULISHA WABUNGE WOTE KWAMBA MHE. DONALD MAX AMEFARIKI DUNIA LEO TAREHE 23/6/2015 KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, MAANDALIZI YA MAZISHI YANAFANYWA NA OFISI YA BUNGE KWA KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA MAREHEMU.
TAFADHALI UKIPATA TAARIFA HII MFAHIMISHE NA MWINGINE.
MUNGU AIPUMUZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEEN!
23.06.2015.
Post a Comment