Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akitazama
picha za matukio mbalimbali ya Mwl. Nyerere alipotembelea Mnara wa kumbukumbu ya
Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyeishi katika Kijiji cha
Chamwino Ikulu, kuanzia Julai 10.1971 hadi Oktoba 30.1971, akihimiza siasa ya
ujamaa na kujitegemea nchi nzima, wakati Waziri Membe alipofika wilayani
Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kushoto ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Dodoma, Mzee William Kusila na (wa
tatu kushoto) ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Janeth Mashele. |
Post a Comment