RAIS KIKWETE AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA NGAZI YA JUU KWA MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akifunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la
Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar
es salaam leo Juni 27, 2015.
PICHA ZOTE NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akisalimiana na maafisa wanaoshughulikia kitengo cha SACCOS cha Magereza
kwenye banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya
Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa
Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe
Mathias Chikawe akipogea ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo
cha Ukonga kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu
ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo
ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo
Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga.
Rais Kikwete akimkabidhi Kamishna
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja ithabati rasmi kwa ajili ya
Chuo cha Mafunzo cha Ukonga iliyotolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati
wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa
Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete,
akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Megereza, Amina Juma Lidenge kwa
niaba ya wahitimu wenzake 104 wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya
Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha
Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku cheo Mwanafunzi Alyefanya Vizuri Katika Masomo ya darasani
Inspekta Saidi Jacob Seni wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya
Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha
Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Askari Magereza wa enzi za Mkoloni
wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais Kikwete wakati wa sherehe za
Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la
Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar
es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride la wahitimu 104 wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo
ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo
Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni
27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa
Magereza John Casmir Minja wakifurahia samani katika banda la maonesho
ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa
Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na
Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa na Wakuu wa
Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria sherehe za
Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la
Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar
es salaam leo Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza
John Casmir Minja wakiwa katika picha ya pamoja na Makamishna Wakuu wa
Magereza Wastaafu. Kutoka kulia ni Mhe. Augustine Nanyaro, Mhe. Nicas
Pius Banzi, Kamishna Generali Mkuu wa sasa John Minja, Rais Kikwete,
Alhaj Jumanne Mangara, Mzee John Mwanguku, na Kamishna wa Huduma za
Urekebishaji Mstaafu Mama Aziza Mursali sherehe za Kufunga Mafunzo ya
Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha
Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27,
2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa
Magereza John Casmir Minja wakiwa na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi ya
Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa
Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015
Post a Comment