WANAKIJIJI WA KATA YA MLANGALI, WAMCHANGIA FEDHA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE
![]() |
| Wananchi wakimchangia mbunge Filikunjombe pesa za kuchukua fomu ya ubunge. |
![]() |
| Mbunge Filikunjombe akichangiwa pesa ya kuchukulia fomu ya ubunge muda ukifika. |
![]() |
| Mbunge Filikunjombe akifurahia kuchangia pesa ya kuchukulia fomu ya ubunge. |
![]() |
| Wananchi wa kada mbali mbali wakimchangia mbunge Filikunjombe. |
![]() |
| Filikunjombe akikabidhi sare kwa madereva boda boda Mlangali. |
![]() |
| Kwaya ya vijana wakiimba wimbo wa kulinda amani wakati wa mkutano wa mbunge Filikunjombe. |
![]() |
| Mbunge Filikunjombe akizungumza na wananchi wa kijiji cha Itundu kata ya Mlangali Ludewa. |
![]() |
| Filikunjombe akitoa mfano wa mshikamano wa kimaendeleo unavyoweza kuleta mabadiliko makubwa. |
![]() |
|
| Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu zote 8 za vitongoji vya kijiji cha Itundu kata ya Mlangali. |










Post a Comment