ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, NDG ABDULRAHMAN KINANA INAENDELEA MKOANI GEITA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Busonzo
wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Gari iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikikatiza kwenye mto kuelekea kijiji cha Namalandulu,wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja litakalounganisha wakazi wa Namalandulu na Ilyamchele, wilaya ya Bukombe, Geita.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka daraja kuelekea kijiji cha Ilyamchele .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda pikipiki kuelekea kijiji cha Ilyamchele kwenda kusalimu wananchi wa kijiji hicho na kushiriki shughuli za utekelezaji wa ilani.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Ibrahim Marwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Ilyamchele.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Ilyamchele,wilaya ya Bukombe,Geita.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ilyamchele ambapo aliwaambia wananchi hao kiongozi mzuri ni yule anayewatembelea wananchi na kuzungumza nao kisha kusaidia kwenye maendeleo yao .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea na ziara yake mara baada ya kumaliza mazungumzo na wakazi wa kijiji cha Ilyamchele, wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kata ya Uyovu ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alikutana na umoja wa vijana wanaouza samaki wa kikundi cha Upendo, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa aliwaambia wananchi hao kuwa uchaguzi wa Oktoba 25 waipigie kura CCM kwani ndio Chama pekee chenye sera za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa Uyovu wakati alipotembelea kikundi cha Upendo cha vijana wajasiriamali wauza samaki,Bukombe mkoani Geita.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Ibrahim Marwa akiwasalimia wananchi wa Uyovu kwenye kikundi cha wachimbaji madini wadogo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wachimbaji wadogo wadogo wa madini wa kata ya Uyovu ikiwa sehemu ya ziara zake za kukagua,kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kuimarisha Chama cha Mapinduzi, Bukombe mkoani Geita.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Uyovu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Uyovu Center ambapo aliwaambia wasirudie makosa kwa kuchagua viongozi wasiowajali wananchi wao.
Wananchi wa Uyovu wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kata ya Uyovu kwenye uwanja wa Uyovu Center ,Bukombe mkoani Geita.
Wananchi wa kata ya Uyovu wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikiwa sehemu ya ziara yake za kujenga na kuimarisha uhai wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuweka mizinga ya nyuki katika kata ya Iyogelo, wilaya ya Bukombe, Geita.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi kwa kuweka milango kwenye shule ya sekondari Busonge kata ya Iyogelo ikiwa sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara.
Wananchi wakimfurahia kiongozi wao Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa jukwaani pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoani Geita Doto Bitebo ,Bukombe mkoani Geita.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Bukombe ambapo aliwahakikishia CCM itashinda kwa asilimia nyingi uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Bukombe ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa sheria nyingi za kodi zinawakandamiza wananchi na ni vyema bunge lijalo kuanza kwa kuzibadili sheria zote kandamizi. (Picha zote na Adam Mzee)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Post a Comment