WAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA ILI KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro . |
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini. |
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake kabla ya kuanza safafti ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya kuchimba dhahabu,Brad Gordon akifurahia jambo na mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Zara Tour. |
Afisa mtendaji mkuu wa Acacia,Brad Gordon akitia saini katika makoti hayo. |
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kapni ya Acacia,Necta Foya akitia saini katika moja ya makoti hayo. |
Kundi la watu 21 kutoka kampuni ya Acacia wakifanya zoezi la uandikishaji kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwalengo la kuchangisha fedha. |
Kaimu Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Charles Ngemba akizingumza katika hafla fupi ya kuiaga timu ya watu 21 walioanza safari ya kupandaMlima Kilimanjaro. |
Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akisalimia katika hafala hiyo. |
Badhi ya wapandaji . |
Baadhi ya wapandaji wakiimba kabla ya kuanza zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Neta na Fredy wakipata kikombe cha chai kabla ya kuazna zoezi. |
Safari ya kuelekea kilele cha Uhuru,Mlima Kilimajaro ikianza kushika kasi. |
Post a Comment