Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA akagua Maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi wakati alipotembelea maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) , Chang'ombe jijini Dar es salaam Januari  4, 2017, Kulia kwake ni  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Deusdedit Mpazi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Deusdedit Mpazi wakati alipotembelea  maghala ya NFRA, Chang'ombe jijini Dar es salaam Januari 4, 2017.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.