Header Ads

Kipindi cha Unyayo wangu Hiki Hapa

Unyayo wangu ni kipindi kipya kabisa kinachokujia kupita Tone Tv, ambacho kinaletwa kwenu na Mtangazaji wetu Eddie Nyota , kinacholenga shabaha ya watu waliothubutu kufanya jambo fulani katika jamii na wanauelewa na jamii husika. 

Utajifunza mengina kuburudika pia kupitia kipindi hiki Kinacholenga rika zote.

 

No comments

Powered by Blogger.