Header Ads

FISI waua na kisha Kula mtu Jijini Nairobi

Fisi wanakisiwa kumuua mwananme mmoja na kisha kula sehemu kubwa ya mwili wake nchini Kenya , kwa mujibu wa chifu wa eno hilo.
Hii ndiyo mara ya pili kisa kama hicho kimeripotiwa katika eneo la Ongata Rongai.
Shambulizi hilo lilitokea siku ya Jumatatu usiku, wakati mwanamme huyo alikuwa akielekea nyumbani mjini humo, ambao unakaribiana na mbuga ya wanyama ya Nairobi
Hata hivyo gazeti la Business Today liliripoti kuwa ni Simba waliyoila sehemu kubwa ya mtu huyo.

No comments

Powered by Blogger.