Header Ads

Taswira ya Leo Bungeni Mjini DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunguno wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo leo Bungeni Mjini Dodoma .
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Nyumbana Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akieleza mikakati ya Serikali inayolenga kuondoa migogoro ya Ardhi katika maeneo mbalimbali hapan chini katika kipindi cha mwaka 2016/2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Bariadi Magharibi Mhe. Andrew Chenge leo Bungeni Mjini Dodoma,kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju.
Mwenyekiti wa kamati ya kuduma ya Bunge ya Bajeti  Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo kuhusu muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2016 mapema leoBungeni mjini Dodoma. 

No comments

Powered by Blogger.