Rais Dkt MAGUFULI awaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya aliyowateua
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt.
Binilith Satano Mahenge kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Zainab
Telack kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wateule wakila kiapo cha uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Post a Comment