Header Ads

Bodi ya Filamu yakutana na Wadau wa filamu Nchini

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu (hawapo pichani) kujadili changamoto na namna ya kuendeleza tasnia ya filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma, kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Genofeva Matemu.
Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula (kulia) akifafanua hoja za kisheria katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Muandaaji na msanii wa filamu nchini Bw. William Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Mmoja ya wadau wa filamu Bw. Hussein Kimu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

No comments

Powered by Blogger.