Taswira ya Leo Kutoka Kwenye Maonesho ya SABA SABA
![]() |
| Wana usalama wakiimarisha ulinzi katika viwanja vya saba saba ili wafanyabiashara na wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani. |
![]() |
| Mwanafunzi kutoka chuo cha VETA wa pili kutoka kulia akiwaelekeza baadhi ya wananchi ubunifu wa kutengeneza boti itakayokuwa inatembea barabarani kwa kuendeshwa na dereva mpaka baharini. |
Picha na Benjamin Sawe



Post a Comment