Header Ads

+AUDIO: Sababu za Kundi la Muziki la PAYUS & MECRAS kubadili Jina

Wakali wa wimbo wa Chausiku, Payus na Mecras kutoka Jijini Mwanza, ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Muziki la Payus & Pacras, wamebadili jina la kundi lao na sasa wanaitwa WAPANCRAS.

Sikiliza mahojiano ya wasanii hao ambapo msanii Mecras ameanza kwa kueleza sababu za kubadili jina la kundi lao kutoka Payus & Pacras hadi kuwa Wapancras huku msanii Mecras akiweka bayana chimbuko la jina hilo la Wapancras.

Bonyeza HAPA Kusikiliza au Bonyeza Play Hapo Chini


Msanii Payus

Msanii Mecras.

No comments

Powered by Blogger.