Header Ads

Mkutano wa Kujadili namna ya Kupunguza Kiwango cha Maambukizi ya Magonjwa wafanyika ARUSHA

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Bi UMMY MWALIMU akifungua mkutano wa 12 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mawaziri wa Afya kutoka nchi Zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye Picha ya Pamoja mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Pamoja wa Majadiliano kuhusu maendeleo Endelevu ya kupunguza Kiwango cha Juu Maambukizi ya Magonjwa yanayoambukiza  na yasiyoambukiza  unaofanyika Jijini Arusha.


No comments

Powered by Blogger.