Header Ads

Uzibuaji wa Mitaro unaendelea Katikati ya Jiji la MWANZA

Uzibuaji wa Mitaro ukiendelea katika Mitaa mbalimbali ya Katikati ya Jiji la Mwanza. 

Mtandao huu unatoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa zoezi hili maana lisipofanyika kwa muda mrefu, mitaro hii huziba, mvua inaponyesha huwa Mitaa ya Jiji haitamaniki tena na inapoteza hadhi ya Jiji la Mwanza.

No comments

Powered by Blogger.