Header Ads

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt HARRISON MWAKYEMBE azungumza Mjini Dodoma

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mjini Dodoma kuhusu maadili ya Vyombo vya Habari katika kuhabarisha Umma juu ya miradi ya maendeleo na jinsi vinavyoweza kuwasidia wananchi kuleta maendeleo na kuepuka kutoa taarifa za upotoshaji.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe na Vyombo vya Habari leo Mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.