Header Ads

Wabunge wa UKAWA watoka Bungeni Wakijifunika Midomo


Pichani ni Wabunge wa Upinzani Wanaounda Umoja wa Ukawa wakijiandaa Kutoka ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Kwa kile wanachoelezea ni Msimamo wao wa Kumpinga Naibu Spika  Dkt Tulia Ackson, wakimtuhumu anakandamiza Uhuru wa Dekomrasia ndani ya Bunge hilo.

No comments

Powered by Blogger.