Header Ads

Shirika la Nyumba la Taifa lakutana na Wadau wa Ujenzi

1Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC), Issack Peter akitoa mada kuhusu utendaji wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence uliojengwa na NHC Kinondoni Hananasifu na kujadili mapendekezo ya mradi huo.

2Prof Ninatubu Lema ,kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji wa mradi ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.

3 4

Wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.

5Wafanyakazi wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika hilo, Issack Peter wakati akitoa ufafanuzi kuhusiana na malengo ya uendelezaji wa mradi huo.

6Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC), Issack Peter akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.

7

Muonekano wa Jengo linavyoonekana kwa nje....

No comments

Powered by Blogger.