Header Ads

Benki Kuu ya TANZANIA tawi la Mbeya yasherehekea Miaka 50 Kwa Kufuturisha

Waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Mbeya pamoja na wadau mbalimbali wakifuturu futali iliyoandaliwa na benki Kuu ya Tanzania (BOT)Tawi la Mbeya ambapo benki hiyo ipo katika kuadhimisha miaka ya hamsini ya kuanzishwa kwake.
Wageni waalikwa ,viongozi wa serikali na viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mbeya  wakipita kupata  futari kwenye ukumbi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la Mbeya.
Mkurugenzi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la mbeya  Jovenant Rushaka akiongoza kupata futari.

Wafanyakazi benki kuu Tanzania tawi la Mbeya wakipata futari.
Wageni waalikwa Viongozi wa serikali na wadau mbalimbali  wakibadilishana mawazo pamoja na kupata futari iliyoandaliwa na benki kuu Tanzania(BOT) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwa benki hiyo.
wadau wakipata futari....

No comments

Powered by Blogger.