WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII YAIMARISHA VITA YAKE DHIDI YA UJANGILI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakikata utepe
wakati wa makabidhiano ya msaada wa magari 50 na pikipiki maalumu 30 kwa
ajili ya kusaidia vita dhidi ya ujangili. Pembeni ni Katibu Mkuu wa
wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru. Makabidhiano hayo yamefanyika jana
katika Makao Makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam.

Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakijaribu
kuendesha pikipiki maalumu zitakazotumika kwenye vita dhidi ya ujangili.
Serikali ya China imekabidhi msaada wa magari 50 na pikipiki hizo 30
pamoja na vifaa vingine kutokana na kuridhishwa na jitihada za serikali.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing na Katibu Mkuu wa
wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru, wakiwa kwenye picha ya pamoja na askari
wa wanyamapori wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo mjini Dar es
Salaam.
Post a Comment