TRA YATOA SOMO KWA CTI JUU YA SHERIA MPYA "VAT"
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade akiongea na wadau kutoka
Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya kuwajengea
uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014
iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Shirikisho la
Viwanda Tanzania (CTI) Dkt. Samuel Nyantahe akimshukuru Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade kwa uamuzi wa
kuwakutanisha wadau wa sekta ya viwanda na kuwaelimisha kuhusu Sheria
Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 ili kuweza kuondoa
utata kwenye baadhi ya maeneo yaliyo katika sheria hiyo, Leo Jijini Dar
es Salaam.
Wadau kutoka Shirikisho la
Viwanda Tanzania (CTI) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakimsikiliza
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade
wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya
Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1,
2015, Leo Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho
la Viwanda Tanzania (CTI) Leodger Tenga akimpongeza Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade baada ya kumaliza
kuwahutubia wajumbe kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), leo
Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Toka Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bw. Beldom Chaula akiwasilisha mada kuhusu Sheria
Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 wakati wa semina ya
kuwajengea uelewa kuhusu Sheria hiyo iliyoanza kutumika Julai 1, 2015
Leo Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe kutoka Shirikisho la
Viwanda Tanzania (CTI) wakiuliza maswali kwa wawakilishi wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani
ya mwaka 2014.
Makamu wa pili wa mwenyekiti
kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Bw. Pankaj Kumar akiongea
wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya
Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1,
2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja
zilizoibuliwa na wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI)
kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati
wa Semina ya kuwajengea uelewa Kuhusu Sheria Hiyo.
Afisa Mwandamizi Toka Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bw. Beldom Chaula akitolea ufafanuzi baadhi ya
hoja zilizoibuliwa na wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI)
kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Afisa Kutoka Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) Bw. Donasian Assey akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja
zilizoibuliwa na wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI)
kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho
la Viwanda Tanzania (CTI) Leodger Tenga akimueleza Jambo Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade wakati wa semina ya
kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya
mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es
Salaam.
Afisa Mwandamizi Toka Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Beldom Chaula akiwaeleza jambo baadhi ya
wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya
kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya
mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA HASSAN SILAYO -MAELEZO
Post a Comment