Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA aenda kwa Sir GEORGE KAHAMA kuhani Msiba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji  Mama Jannet Kahama,  Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017, Wengine pichani ni wanafamilia.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na   Mama Jannet Kahama,  Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017, Wengine pichani ni wanafamilia.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati  alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.