Header Ads

Bomoa Bomoa Kando ya Reli yalikumba Eneo la Kurasini Jijini Dar es Salaam

 Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon  katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. 

 Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila.

 Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa.

 Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa.


 Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo.

 Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji.

Wataalamu wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa.


No comments

Powered by Blogger.