Header Ads

Waziri UMMY MWALIMU azindua Bodi ya Wadhamini Taasisi ya Moyo ( JKCI )

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) Prof.William Mahalu akimsikiliza Mkurugenzi Huduma ya Upasuaji(JKCI) Dkt.Bashir Nyangasa juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa Taasisi hiyo.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akizungumza na moja ya mgonjwa anayepatiwa matibabu ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) alipoenda kuzindua Bodi ya wadhamini ya taasisi hiyo.Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof Mohamed Janabi.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete(JKCI) uliofanyika leo Jijini Dar es Salaaam.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete(JKCI) uliofanyika leo Jijini Dar es Salaaam.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) Prof.william Mahalu na  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof Mohamed Janabi.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) Prof.William Mahalu vifaa vya kufanyia kazi wakati uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete(JKCI) uliofanyika leo Jijini Dar es Salaaam.


 

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya wadhamini,wafanyakazi na wageni waalikwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuzindua bodi hiyo.Waliokaa kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) Prof.William Mahalu na  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.


No comments

Powered by Blogger.