Header Ads

Kamati ya Bunge ya Ardhi yatembelea Mradi wa kuwezesha Umilikishaji Ardhi, KILOMBERO

Naibu Waziri wa ArdhiNyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabula Akifafanua  Namna Fomu ya Umiliki Ardhi inavyo tumika ili kupata taarifa za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya Kumiliki Ardhi mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira na Wananchi katika kijiji cha Mikoleko  Wilaya ya Kilombero - Morogoro.

Mratibu wa Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi Godfrey Machabe akisoma Ripoti ya maendeleo ya mradi huo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya  Mradi huo Wilayani Kilombero - Morogoro.

Mwenyekiti wa kijiji cha MikolekoWilaya ya kilombero akielezea ushiriki wa Wanakijiji katika zoezi la kumilikisha ardhi ndani ya kijiji hicho Mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Mazingira.

No comments

Powered by Blogger.