Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ashiriki Uzinduzi Jukwaa la Uchumi Afrika

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Swaziland , Barnabas Sibusiso Dlamini katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye hoteli ya Westin mjini Port Louis, Mauritius, Machi 20, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi za Afrika walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye Hoteli ya Westin mjini Port Louis nchini Mauritius Machi 20, 2017.

(Picha na 0fisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.