Header Ads

Jukwaa la Wahariri Tanzania laweka Msimamo wa Kumtenga Paul Makonda

 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika habari za matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita alivamia kituo cha Clouds Media usiku akiwa na askari waliokuwa na bunduki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati na Mjumbe wa TEF, Lillian Timbuka.

 Meena ambaye alisoma  tamko la pamoja la TEF, Dare sSalaam Press Club na Umoja wa Vilabu vya Habari nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari.

 Wanahabari wakiwa kazini.

 Meena akifafanua jambo.


 Meena akisisitiza kuwa mwandishi yeyote atakayekiuka tamko hilo kwa kwende kwenye matukio ya RC Makonda, litakalompata TEF haitahusika kwa lolote.


No comments

Powered by Blogger.