Header Ads

Vijana wa Kazi Mount Meru Rickernest Band Waahidi Burudani Kali Jijini Arusha

  vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar   bendi  town ijulikanayo kama  Mounti Meru Rickernest.
    

Waimbaji wa bandi ya  Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau  wa muziki wa bandi mkoani Arusha.

 Waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki.

 Wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani.


 Hapa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina.


 Washabiki wa bandi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja  mara baada ya burudani kukolea.


 Wanadada wa A-Town  waliohudhuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band  wakiwa katika pozi.


 Wa kwanza kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest music band  Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na  shabiki mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja.


 mmoja wa wakurunzi wa band hiyo  wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao.

No comments

Powered by Blogger.