Rais Dkt JOHN MAGUFULI ashiriki Kuuga Mwili Marehemu CHRISTINA LISSU MUGHWAI
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo
kufatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Chadema Christina Lissu Mughwai
aliyefariki Aprili 7 mwaka huu.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mwanasheria Tundu
Lissu (Mb) kufatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili
7 mwaka huu.
|
![]() |
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa pole Mwanasheria Tundu Lissu (Mb) kufuatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu. |
Post a Comment