Header Ads

TASWIRA ; Tafrija ya Mchapalo Baada ya Tigo na Samaki Samaki kuingia Ubia yafana

Wadau wakifurahi usiku wa jana wakati wa hafla ya mchapalo baada ya Tigo na mgahawa wa samaki samaki kuingia Ubia ambapo pande hizo mbili zimekubaliana kufanya kazi pamoja  kwa kuleta  bidhaa/huduma zao kwa wateja wa kila mmoja.
Vinywaji murua kabisa. 
Warembo wa Tigo wakiwa tayari kuhudumia wateja na wageni waalikwa wote. 
Ulinzi ukiimarihwa kwa  wageni waalikwa na  wateja wote.
Mtaalamu wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo Samira Baamar (kulia ) akiwa katika pozi na wafanyakazi wenzake Ummy Mtiro na Natasha. 
Mhudumu wa Samaki akitabasamu na kuwakaribisha wageni waalikwa. 
Blogger na mdau wa mitandao ya kijamii John Kiandika akiwa katika pozi na mkewe wakati wa hafla usiku wa jana. 
Mmoja ya wageni waalikwa akipata maelezo kuhusu huduma ya Tigo 4g kutoka kwa muhudumu.
Mkurugenzi wa migahawa ya Samaki Samaki, Bw. Carlos Bastos.
Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo Oliver Prentout akifurahi jambo na wafanyazi wa tigo wakati wa hafla hii.
Watangazaji maaruf wa kituo cha Clouds tv Hudson Kamoga na Sam sasali wakiwa pamoja kupata maelekezo kuhusa huduma ya intanet ya kasi ya Tigo 4G kwenye hafla hiyo.

No comments

Powered by Blogger.