Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA awasilisha Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali Bungeni Mjini Dodoma

Watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha bungeni  Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi  ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2016/2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha  bungeni   Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi  ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2016/2017.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenhye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu wake, Dktt.  Abdallah Posi wakiteta bungeni mjini Dodoma Aprili 22, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Mwigulu Nchemba, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 20, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Fedha  ambao Aprili 22, 2016  walikwenda Bungeni mjini Dodoma kwa ziara ya mafunzo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Afisa Habari wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Hamis Dambaya (katikati) na  Mhadhiri Msaidizi  wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam , Egbert Mkoko kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 22, 2016. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.