Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani MOROGORO

Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu akiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2016 ambao ujumbe wa mwaka huu ni Vijana ni nguvu kazi ya Taifa, washirikishwe na kuwezeshwa.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu akizindua Mbio za Mwenge 2016 mkoani Morogoro, watatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu akizindua Mbio za Mwenge 2016 mkoani Morogoro, watatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Steven Kebwe akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwakiongozi wa mbio hizo Bw. George Jackson Mbijima anayetokea Mkoani Mbeya wakati wa uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika mkoani Morogoro.
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye kushoto akiongea na  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa George Simbachawene wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro.


Picha na Benjamin Sawe

No comments

Powered by Blogger.