Header Ads

102.5 LAKE FM MWANZA, INAKUPA FURSA

102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo ni Redio Mpya Jijini Mwanza ambayo bado iko katika matangazo ya majaribio. inatoa fursa kwa wasikilizaji wake kupiga picha wakishow love na kuzipost katika mitandao yake ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter @lakefmmwanza 
.....................

Hii ni Kampeni ambayo inajulikana kama "Raha yako ya Rock City ni nini" ambapo wasikilizaji kutoka katika makundi mbalimbali hueleza Raha yao ya Rock City ni nini. Tembelea mitandao ya kijamii ya redio hiyo kujionea. Binagi Blog imekudondoshea baadhi ya picha hizo. Juu ni miongoni mwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Saut Mwanza. Hakika hii ni fursa yako, itumie.

Kutoka Chuo cha Saut.

Kutoka Jijini Mwanza, Kutana na Nelia.

Kutoka Barmedas Tv.

Msanii Black D kutoka Jijini Mwanza.

Kutoka Chuo Kikuu Saut na Barmedas.Tv kutana na Ramzul.

Kutoka Kampuni ya Visimbuzi Ting, Kutana na Pierre (Kushoto) na Agness (Kulia).

Kondakta Jijini Mwanza.

Kondakta na Madereva wa Ibanda-Mzunguko Jijini Mwanza.

Dereva Bodaboda Jijini Mwanza.

Dereva Bodaboda Jijini Mwanza.

Dereva Bodaboda Jijini Mwanza.

Said Tembo, Mwenyekiti wa Muungano wa Machinga Mkoani Mwanza.

Moshi Maketa, Katibu wa Muungano wa Machinga Mkoani Mwanza.

Mama Tausi, Mwenyekiti wa Mama Lishe Jijini Mwanza.

No comments

Powered by Blogger.