Rais Dkt JOHN MAGUFULI amuapisha MATHIAS CHIKAWE kuwa Balozi wa TANZANIA nchini JAPAN
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Rais
Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha
kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini
Japani.
|
Post a Comment