Header Ads

Soma Andiko la Rais Mstaafu JAKAYA KIKWETE kuhusu Ugonjwa wa Malaria

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ametoa andiko lake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani. 

Andiko hilo ambalo ameliandika kwa lugha ya Kiingereza na ambalo limo katika Tovuti ya gazeti la Huffington Post, Dk. Kikwete anasema " When I was President of Tanzania, I remember visiting a district where 70 percent of the children were absent from school. 

They told me the problem was malaria. I sent my minister of health to investigate, and he confirmed it was true: a majority of children were missing school and falling behind because they had malaria. 

That was a wake-up call for all of us..." Kusoma zaidi andiko hilo Tafadhali> BOFYA HAPA

No comments

Powered by Blogger.