Header Ads

TASWIRA YA LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, bungeni Mjini Dodoma Aprili25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola, bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016. Katikati ni Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.