Header Ads

KUTOKA BUNGENI DODOMA : Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahitimisha Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha  hoja  ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge ,Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  akijibu baadhi ya hoja za  kuhitimisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016.
aziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akipongezwa na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Angella mabula (kulia) na Mbunge wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba   baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016.
 Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu  na Watendaji wa Ofisi na Taasisi zilizochini ya Wizara yake  baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.