Header Ads

PSPF yatoa elimu Kwa Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam

Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto akimkabidhi  Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live kulia Bi. Joyce Kiria kitambulisho cha uchangiaji wa hiari katika mafunzo kwa  wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe akitoa mada katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

No comments

Powered by Blogger.