Rais wa Sudan Kusin SALVA KIIR atia Saini Mkataba wa Kujiunga Rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki
![]() |
wa
Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wimbo wa Taifa ukipigwa. |
![]() |
Rais
wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akitia saini kwenye Mkataba wa Sudani
Kusini kujiunga na Jumuia ya Afrika Mashariki.
|
![]() |
Rais Dkt. Magufuli akitoa hotuba yake mara baada ya zoezi la utiaji Saini kukamilika. |
![]() |
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati Bendi ya Matarumbeta ilipokuwa
ikitumbuza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU
|
Post a Comment