Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULLI atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji ( TIC )

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Julieth Kairuki (Pichani chini) baada ya kubainika kuwa hajachukua mishahara yake tokea Aprili 2013.

WhatsApp-Image-20160428
unnamed (12)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki ambaye uteuzi wake umetenguliwa na Rais Magufuli.

No comments

Powered by Blogger.