Header Ads

Bunge FC yaitandika Timu ya Albino 1 - 0

 Mbunge wa Jimbo la Kalenga,ambaye ni mchezaji wa timu ya Bunge, Godfrey Mgimwa (kushoto) akijiandaa kuwatoka wachezaji wa timu ya Albino katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma jana.Kutoka kushoto ni Dadi Kabe, Kelvin Mbuta na Ludovick Julius,Bunge ilishinda bao 1-0.

 Mbunge wa Mkuranga wa timu ya Bunge, Abdala Ulega akiwania mpira na Kelvin Mbuta wa timu ya Albino.


 Mbunge wa Jimbo la Kilolo, ambaye ni mchezaji wa timu ya Bunge, Venance Mwamoto (kulia), akimkaba mchezaji wa timu ya Albino, Kelvin Mbuta katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

 Mbunge wa Jimbo la Kilolo, ambaye ni mchezaji wa timu ya Bunge, Venance Mwamoto (kulia), akimtoka mchezaji wa timu ya Albino, Kelvin Mbuta katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

 Mwamoto akiwatoka wachezaji wa Albino.


Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda  (kulia)akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa timu ya Albino.


 Ludovick Julius wa Albino akiwahadaa wachezaji wa Bunge, Sixtus Mapunda na Godfrey Mgimwa.


 Mgimwa akiwa amenyang'anya mpira.


 Yusufu Kaiza akiwatoka wachezaji wa timu ya Albino.



No comments

Powered by Blogger.