Header Ads

Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira yakutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kujadili Bajeti

Mwenyekiti wa  Kamati ya bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira Dkt.Dalaly  P.Kafumu (katikati) akifafanua Jambo kwa wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa kikao cha  Kujadili Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira ,kutoka kulia ni Katibu wa kamati hiyo Ndg.Godfrey Magova na kushoto ni Bi. Zainabu Mkamba.         
Waziri wa nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.January  Makamba akielezea jambo  kwa wajumbe wa Kamati ya bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira wakati Wakijadili bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira kwa mwaka wa fedha 2016/ 2017.          
Wajumbe mbalimbali wa Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira Wakimsikiliza kwa Makini Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh.Dkt.  Dalaly P. Kafumu walipokutana Kujadili taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira kwa Mwaka wa fedha 2016/2017.             

No comments

Powered by Blogger.