Header Ads

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kitivo cha Sayansi Chuo Kikuu ( UDSM ) yafungwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utengenezaji wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti Lulu Kaaya mmoja kati ya washiriki wa mashindano ya aina mbalimbali ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi zawadi maalum Atibele Biyamungu mshindi wa kwanza kwenye Shindano la kuandika ESSAY katika maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam  wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani. 
Picha na OMR

No comments

Powered by Blogger.