Header Ads

Katibu Mkuu UVCCM, Shaka Hamdu Shaka Kuunguruma Jijini Mwanza

Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka

Na:George Binagi

Katibu Mkuu Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM Taifa), Shaka Hamdu Shaka, hii leo anatarajiwa kuunguruma Jijini Mwanza, katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika katika Uwanja wa Magomeni Kirumba, Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.

Ziadi Bonyeza HAPA

No comments

Powered by Blogger.