Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Mazungumzo na Askofu Mkuu BEATUS KINYAIYA
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya kabala ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Oktoba 27, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment