Profesa MBARAWA afanya Mazungumzo na Ujumbe Kutoka UNITED ARAB EMIRATES
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akimsikiliza mmoja kati
ya wajumbe waliotembelea Wizarani hapo kutoka United Arab Emirates kujadili fursa
mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.
|
Post a Comment